Skip to main content

Posts

Featured

DIAMOND PLATNUMZ KAFANYA NINI TENA?

                   NINI TENA KIMETOKEA? Wengi hujua kama Diamond platnumz ni msanii tuuu wa BONGO Lakini hii ni tofauti kwa wale wanaomjua DIAMOND PLATNUMZ kwa undani PLATNUMZ almaarufu kwa jina la CHIBU CHIDENGA ama SIMBA mnyama amekuwa ni mtu mwenye kutoa msaaada mbali mbali sana kwa jamii inayomzunguka Na hivi sasa amekua akipata mihaliko mbali mbali hapa nchini pamoja na nje ya nchi

Latest Posts

JE MIGOS WANATENGANA BAADA YA OFFSET KUTANGAZA KUTAKA KUMUOA CARDI B?