DIAMOND PLATNUMZ KAFANYA NINI TENA?
NINI TENA KIMETOKEA?
Wengi hujua kama Diamond platnumz ni msanii tuuu wa BONGO
Lakini hii ni tofauti kwa wale wanaomjua DIAMOND PLATNUMZ kwa undani
PLATNUMZ almaarufu kwa jina la CHIBU CHIDENGA ama SIMBA mnyama
amekuwa ni mtu mwenye kutoa msaaada mbali mbali sana kwa jamii inayomzunguka
Na hivi sasa amekua akipata mihaliko mbali mbali hapa nchini pamoja na nje ya nchi
Comments
Post a Comment